Mohamed maweni
Member
- Dec 11, 2021
- 37
- 30
HABARI WAFUGAJI NA WANAFAMILIA WA JEFF AGRICULTURE FARM
[emoji2788]Leo tunaenda kujifunza Namna nzuri na rafiki ya kuwaepusha kuku/vifaranga wetu na ugonjwa hatari wa (MDONDO/KIDERI/NEW CASTLE)
[emoji2788]MDONDO ni ninii??
Ni ugonjwa unao washika kuku wa aina zote na wa umri wotee ugonjwa huu husababishwa na virus aina ya PARA-MYXO VIRUS...
virusi hawa ni hatari sana na uzaliana kwa Kasi Sana wanapo kuwa tayari wanaishi ndani ya kuku/vifaranga kwa wajuzi wa mambo wanadai kuwa PARA-MYXO VIRUS Hana dawa akishaingia ndani ya mwili wa mfugoo hivyo njia peke ya kumuweza basi ni kumkinga kwa chanjo kablaa
[emoji2788]JINSI YA KUWAPA CHANJO YA MDONDO VIFARANGA/KUKU
Vifaranga wadogo wanatakiwa wapewe chanjo ya New Castle wakiwa na siku 3-7 hii itasaidia kwa 90% kuepuka na ugonjwa wa Kideri kwa vifaranga/kuku wako
KUNA AINA MBILI ZA CHANJO ZA NEW CASTLE
[emoji3514]Chanjo ya matone hii mfugaji unawawekea kuku wako mmoja mmoja tone moja ndani ya jicho lakee mpaka wote uwamalizee(NJIA HII INAHITAJI UMAKINI MKUBWA)
[emoji3514]Chanjo ya kidonge hii unaiweka kwenye maji yako masafi na salama kwa ujazo wa Lita 10-15L na unaweza kuwapa kuku/vifaranga wako hadi 1000 kwa muda wa masaa mawili tuu na badae waweza yatoa maji ya chanjo na kuosha vyombo na kuweka maji mengine masafi yenye Antibiotic
NB:ili kuku/vifaranga waweze kuwa wamekunywa maji ya chanjo kwa muda wa masaa mawili tunashauri kuwa kabla ya kuwapa maji ya chanjo tuwape chakula kwanza bila maji kwa muda wa Nusu ili badae ukiweka maji ya chanjo wote wayakimbilie kutokana na kiu ya maji watakuwa nayo
MADHARA YA KUKOSA CHANJO HII
[emoji3514]Kuhalisha na kukosa ham ya Kula
[emoji3514]Kukohowa na kushindwa kuhema
[emoji3514]Kutoka na uharo wa kijani na chokaa
[emoji3514]Kushusha mabawa na kupindaa shingoo
[emoji3514]Vifoo bandani mpaka 45% mpaka 90% kutokana na ugonjwa ulivyo ingia
USHAURI...tuachee kuishi kwa mazoea na tusisubiri tatizo litufikie ndio tuanze kulishughurikia Mdondo ni hatari na unauwa kwa Kasi Sanaa
Kwa kuku wakubwa wapewe chanjo kila baada ya miezi mitatu
NB:UGONJWA HUU HAUNA TIBA BALI UNAKINGA TUU
JEFF AGRICULTURE FARM NI UKOMBOZI WA FIKRA KWA WAFUGAJII