Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kwa mujibu wa wataalamu wanasema kuwa kama ilivyo muhimu kwa chakula na maji katika mwili wa BINADAMU basi usingizi nao ni muhimu hivyo hivyo.
Ndani ya mwili wa binadamu kuna kitu kinaitwa Circadian rhythm ambacho ndio kinausimamia mwili kwenye mambo mbali mbali kwa masaa yote 24 ikiwemo usingizi. Circadian rhythm ndio inajua ni muda gani wewe unalala na muda gani unatakiwa kuamka
Circadian rhythm huwa inajiseti automatiki kulingana na namna mwili ulivyoyazoea mazingira. Ndiyo maana mtu aliyezoea kula saa 7 ikifika muda ule njaa humsumbua.
Mtu alozoea kuamka saa 10 usiku ikifika muda huo huamka mtu alozoea kulala saa 4 usiku ikifika muda huo usingizi humsumbua hii yote ni namna mwili ulivyoweza kuzoea mazingira
Circadian rhythm huathiriwa na vitu vingi kama vile kazi nyingi, tabia ya kutolala kwa wakati, chakula unachokula na kiasi unachokula, mazoez, hali ya kiafya, safari, mawazo hali ya hewa n.k .... LAKINI Circadian rhythm huathiriwa zaidi na Mwanga na giza
Kwanini circadian rhythm huathiriwa zaidi na Mwanga na giza ni kwa sababu mwili unatabia ya kurespond kila kitu unaposikia baridi utaona mwili ulivyo... ukipata na woga pia kuna kitu utakiona mwili mwako . ..ukiwa na njaa mwili utarespond ...ukishiba sana mwili utarespond
Hivyo circadian rhythm nayo hurespond zaidi kwenye giza na kwenye mwanga....kadri Giza linavyoathiri macho yako ( Giza linavyoingia) bas circadian rhythm huzalisha kwa wingi homon inayoitwa metalonin, homoni hii ya metalonin ndio husababisha mtu kupata USINGIZI. Kinyume chake ni kuwa kadir mwanga unavyoingia basi kiwango cha homon ya metalonin kinachozalishwa hupungua. Hiyo ni moja wapo ya madai ya usingizi
Ijapokuwa hadi wakati huu wanasayansi hawatoa maelezo ya kutosha kuhusu usingiz husababisha na nini. Wengi wao husema ni ubongo kuitaji kupumzika na maelezo mengine mengine
JE KITU GANI HUTOKEA WAKATI WA USINGIZI
Kwa mujibu wa wataalamu wanasema kuwa robo ya umri ambao binadamu ameisha basi ameutumia kwa USINGIZI
Je ni nini kinatokea tukiwa usingizin
Wataalamu wanasema kuwa usingiz wa binadamu umegawanyika katika sehemu nne katika UPILI. Maana yake ni kuwa kuna vitu viwil vikubwa ambavyo hutokea katika hizo sehemu nne zilizogawanyika katika usingizi.
VITU VIWILI VIKUBWA KWENYE USINGIZI
1) Non Rapid eye Movement sleep (Non -REM)
Hapa ubongo wa binadam hupunguza shughuli zake, pumzi na moyo hupunguza kiwango chao, joto la mwili hupungua, misuli hujiachia na macho au jicho huacha kumove ndio maana imeitwa Non Rapid eye Movement
Katika zile stage nne za usingiz stage tatu huusisha hii phase ya NON RAPID EYE MOVEMENT SLEEP ( REM)
Na hii ndio phase muhimu sana ya usingiz kwenye mwili wa binadamu kwa sababu mwili wa binadamu huongeza kinga za mwili, huongeza uwezo wa kumbukumbu... Hutengeneza mifupa n.k
2) RAPID EYE MOVEMENT SLEEP (REM)
Hapa ubongo wa binadam unafanya kazi, upumuaji huongezeka hata mapigo ya moyo pia, na macho hutwist
Baada ya kuona vitu viwil muhimu katika usingizi wa binadamu sasa tukaangalie zile hatua/ stage nne za usingiz wa binadamu
A) Stage ya kwanza ni ya non REM
Stage hii ni zile dakika za mwanzo ambapo binadamu husinzia kabla ya kuchukuliwa na usingizi mzito
Kati stage hii ambapo macho yanapunguza kucheza, ubongo nao unapunguza kufanya kazi hata mapigo ya moyo nayo huanza kupungua
Stage hii huchukua dakika saba
B) Stage ya pili nayo ni non REM
Kwenye stage hii ya usingiz joto la mwili huanza kupungua, macho yanaacha kabisa kumove, ..misuli inajiachia
Wataalamu wanasema kuwa binadamu hutumia muda mwingi kwenye stage hii ya pili
3) stage ya tatu nayo ni Non REM
Hapa kwenye stage hii ndio usingizi mzito huanza ambapo macho na misuli yako hutulia tuli yaaan havijisogezi
Katika stage hii mwili hujichaji ( kuongezea nguvu) hutengeneza cell, tissues na misuli
Na stage hii ndio hukufanya uwe fresh ukiwa umeamka
4) Stage ya 4 ni REM
Katika stage hii ya usinginzi kwanza usingizii unakuwa mzito sana na hutokea dakika 90 baada tu ya kulala ....katika stage hii ya usingizi macho hucheza sana, ubongo wako hufanya kazi saana....pumzi na mapigo ya moyo huongeza kasi
Inasemekana katika stage hii ya 4 mtu ndio huota
Lakini stage hii ya nne huongeza uwezo wa KUJIFUNZA na kukumbuka
Lakini kumbuka Kuanzia stage ya kwanza hadi ya nne huwa zinajirudia rudia
JE UNATAKA KUJUA unatakiwa kulala kwa muda gani?
Kwa mujibu wa rekodi inasemakana mtu anayeshikilia rekodi duniani ya kulala muda mrefu ni Bwana Peter Power ambaye alilala kwa siku 8 mfululizo
Hata masaa ya usingizi hutofautiana kulingana na umri. Haya ndiyo masaa unayotakiwa kulala kulingana na umri wako
Kuzaliwa hadi miezi 3 : masaa 14 hadi 17
Miezi 4 hadi miezi 12 : unatakiwa kulala masaa 12 hadi 16
Mwaka 1 hadi miaka 2 : lala masaa 11 hadi 14
Miaka 3 hadi 5 : unatakiwa kulala masaa 10 hadi 13
Miaka 6 hadi 12 : lala masaa 9 hadi 12
Miaka 13 hadi miaka 18 : lala masaa 8 hadi 10
Miaka 18 hadi 60 : lala masaa 7 au zaidi
Umuhimu wa USINGIZI
1)Mwili kujiongezea nguvu
Shughuli zetu za kila siku hutumia nguvu nyingi saana sio kazi za maofisini , au masomo shuleni hata michezo ya watoto nayo hutumia nguvu hivyo ili miili yetu kujiongeza nguvu zile tulizopoteza inahitajika kulala
2) usingizi hufanya ubongo kufanya kazi vizur zaid .. nerves na neurons cell zinahitaji kujipanga upya na kupitia usingiz ubongo hutoa taka
Kupitia usingiz huongeza ubunifu, huongeza kumbukumbu, huongeza uwezo wa KUJIFUNZA, na pia huongeza uwezo wa kutatua matatizo
3) Usingizi hufanya uzito wa mwili usiongezeke...
4) Usingiz huongeza kinga za mwili hivyo mwili unakuwa unajimudu kupambana na magonjwa mbali mbali
5) Usingiz huimarisha afya ya moyo
JE NINI HUTOKEA USIPOLALA USINGIZI
Mtu anayeshikilia rekodi ya dunia ya kutolala kwa muda mrefu ni bwana Robert McDonald ambaye hakulala kwa muda wa masaa 453 na dakika 40
Bwana Robert McDonald aliishika rekodi hiyo mwaka 1986 ....kwa sasa hivi daftar la rekodi za dunia limeacha kushindanisha rekod hii kutokana na kuwa husababisha madhara kwa binaadam
Ingawa kuna huyu jamaa anadai yeye hajawahi kulala kabisa katika maisha yake huyo jamaa anaitwa Al Herpin January 1, 1862 – January 3, 1947)
1) huongeza uwezekano wa kifo cha mapema
2) hupunguza uwezo wa kufikiria na kukumbuka
3) kama ni dereva huongeza nafasi ya kupata ajali
4)huongeza msongo wa mawazo
5) hupunguza umakini
6) Uchovu