Ujulisho...

Penny

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Posts
575
Reaction score
50
...ndugu zangu wapendwa,

Napenda kuwataarifu nilibahatika kupata mtoto wa kiume though he came early...but we are all doing fine and God is doing his wonders in our life. Asanteni kwa maombi yenu mliokuwa mkifahamu, na waliokuwa hawafahamu mzidi kuniombea pamoja na mtoto.
 

Kumbe maombi yangu hayakusikilizwa? Mi nilikuombea upate mapacha moja mrembo kama mama yake na jingine dume kopi raiti na baba yake.

Hongera sana Penny.

Kuolewa ni sheria na kuzaa ni majaliwa.
 
Hongera Penny, Mungu awajalie afya njema. Naomba kuwa baba wa ubatizo
 
...........Wow!!Hongera mpenzi Mungu akujalie umlee mtoto katika njia inayofaa.
 
hongera mama mtoto, Mungu akukuzie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…