Ujumbe "kuntu" kwa majirani zetu wote

Tanzanians killed in South Africa, Tanzanians killed in Mozambique....Why only Tanzanians? The government is just trying to save face, to show that it can protect its citizens outside its boundaries, but in reality they cant.....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kisha unawaskia ukimgusa mtanzania mmoja utakiona...hku jamaa wakiuliwa na bado hawafanyi kitu

Sasa wewe umezoea kusikiliza Maneno ya mitaani, unataka na sisi tuendelee kulumbana na walevi?. Mwambie alete ushahidi kama kuna watanzania waliokua wanaishi katika hizo nchi na wakauliwa.
 
Wacha kulia lia wewe...eti "ukimgusa mtanzania hapo nairobi ndio mtaona"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Haya sasa...wameuliwa boader kabisa...nendeni mkawaonyeshe cha mtema kuni hao jamaa....[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Sasa wewe umezoea kusikiliza Maneno ya mitaani, unataka na sisi tuendelee kulumbana na walevi?. Mwambie alete ushahidi kama kuna watanzania waliokua wanaishi katika hizo nchi na wakauliwa.

Wakati mwengine kujibishana na wakenya ni sawa na kujibishana na wendazimu, sasa hili tukio limetokea ndani ya Msumbiji, sasa hivi POLISI wa Tanzania wapo nchini Msumbiji kuwasaka hawa majangili, sasa wewe ulitakaje?. Sisi tumesema, mkiwagusa watanzania hapo kwenu, tutakuja kuwafundisha adabu.
 
wakaanza kuondoka na madumu yao ya petrol.
Waliogopa sana, walikuwa wapole ghafla, hawakutegemea ile reaction, hawawezi kurudia tena. Mpaka sasa baadhi hawaamini kama Magufuli amesamehe kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…