Ujumbe kutoka K24, kuhusu uamuzi wa Supreme Court ya Kenya.

Ujumbe kutoka K24, kuhusu uamuzi wa Supreme Court ya Kenya.

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
Nyani Ngabu, mfianchi, Ngongo, ZeMarcopolo, Crucial Man

Hawa mabwana walikua tayari wanajua uamuzi wa Supreme Court ya Kenya ndo maana wakasema hivi
kwenye twitter account yao na hata kabla mahakama haijakaa kuamua.

qkj6u
 
Last edited by a moderator:
Just to be fair to them....everybody and they mama knew the Supreme Court would uphold the announced results lol.
 
Kuna sehemu nilipost kuwa nimeshajua hukumu inavyoelekea. Ilifika wakat ikawa obvious hukumu itakavyokuwa, lakini kwa manstream media kujitoa kimasomaso hivyo lazima wawe na sababu zaidi ya speculations!
 
Kesi ya msingi ilishaonesha wazi kuwa CORD walishashindwa uchaguzi hivyo shitaka lao lilikua ni jujikosha tu.
 
Kuna sehemu nilipost kuwa nimeshajua hukumu inavyoelekea. Ilifika wakat ikawa obvious hukumu itakavyokuwa, lakini kwa manstream media kujitoa kimasomaso hivyo lazima wawe na sababu zaidi ya speculations!
Mkuu, kwani haufahamu kuwa kituo hiki cha TV ni mali ya Uhuru?
 
Mkuu, kwani haufahamu kuwa kituo hiki cha TV ni mali ya Uhuru?

Ukiangala kwa undani kituo inabid kishtakiwe kwa sababu ni kama kimesabotage uamuzi wa mahakama in a sense kwamba ingetangaza matokeo tofauti fuj zingetokea kwa kuwa kisaikolojia watu walishaandaliwa kupokea majibu tofauti...
 
Back
Top Bottom