Ujumbe kutoka K24, kuhusu uamuzi wa Supreme Court ya Kenya.

Just to be fair to them....everybody and they mama knew the Supreme Court would uphold the announced results lol.
 
Kuna sehemu nilipost kuwa nimeshajua hukumu inavyoelekea. Ilifika wakat ikawa obvious hukumu itakavyokuwa, lakini kwa manstream media kujitoa kimasomaso hivyo lazima wawe na sababu zaidi ya speculations!
 
Kesi ya msingi ilishaonesha wazi kuwa CORD walishashindwa uchaguzi hivyo shitaka lao lilikua ni jujikosha tu.
 
Kuna sehemu nilipost kuwa nimeshajua hukumu inavyoelekea. Ilifika wakat ikawa obvious hukumu itakavyokuwa, lakini kwa manstream media kujitoa kimasomaso hivyo lazima wawe na sababu zaidi ya speculations!
Mkuu, kwani haufahamu kuwa kituo hiki cha TV ni mali ya Uhuru?
 
Mkuu, kwani haufahamu kuwa kituo hiki cha TV ni mali ya Uhuru?

Ukiangala kwa undani kituo inabid kishtakiwe kwa sababu ni kama kimesabotage uamuzi wa mahakama in a sense kwamba ingetangaza matokeo tofauti fuj zingetokea kwa kuwa kisaikolojia watu walishaandaliwa kupokea majibu tofauti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…