watanzania wameshakubali kufanya mabadiliko makubwa. Rais jakaya kikwete ajiandae kuaga ikulu, astaafu baada ya mika mitano ambayo haikuleta matumaini yaliyotarajiwa. Serikali isitumie mabavu kuumiza wananchi wanaotaka mabadiliko. Isimwage damu kwa ajili ya maslahi binafsi ya wanaotafuta madaraka au wanaong'ang'ania madaraka.
Rais kikwete asiviingize vyombo vya ulinzi katika dhuluma inayoweza kusababisha damu ya watanzania kumwagika kwa ajili ya madaraka ya wachache.
Sourrce;
utakapojua hujui ndipo utakapojua