Ujumbe kutoka kwa Mwijaku

Ujumbe kutoka kwa Mwijaku

Program Manager

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
2,763
Reaction score
3,955
Anaandika MWAJAKU a.k.a DC wa Insta

#FACT- MWAMBINO chukua hii , Mwanaume unatakiwa kuwa na ubongo wenye macho kujua wazo linakokwenda na masikio yenye mzani wa kupima kila kauli ,na moyo wenye utulivu kuweza kuwa na subira katika uwekezaji wa mapenzi.

Mtandao wa #www.fortune.com umeonyesha thamani ya bei ya viungo vya mwanadamu.

Moyo una thamani ya $1.4 Million hizi ni sawa na Billion 3,241,062,369.86 kwa hiyo unapompenda mtu kwa moyo wako wote jua umewekeza billion 3,241,062,369.86 returns ya uwekezaji wako inatakiwa furaha,amani, na vicheko.

Ukipempenda mtu hutakiwi kutoa hata Tsh 1,ukiona unampenda mtu harafu anaomba pesa kuanzia vocha ,kusuka,nguo vunja mkataba wa uwekezaji wa upendo wa billion 3 ,anza kujipenda mwenyewe.

Baadhi ya wanawake siku hizi ama degree lakini anaomba pesa za kufanyiwa birthday party,kwenda out na hana ajira wala wazo la biashara.Mwanamke wa aina hii liability hafai kwenye maisha wala ndoa ,sababu ana mbegu ya kuharibu kizazi.

Ukiona mwanamke haombi pesa kisha anakupenda na kukuheshimu jua huyo ni assets ,mpe mtaji kuwa muwekezaji mzuri kwake sababu mwanamke bora huwa na mume bora.Mwanamke wa namna hii ndio wajenzi wa familia wanaoendeleza vizazi.

Kuhonga ni udhaifu na kumhudumia mwenza wako ni jukumu lako ,kuna tofauti ya kuhonga na kuhudumia, mwanamke bora haombi pesa hata siku moja.

Cc diamondplatnumz @officialzuchu @official_mwijaku @official_mwijaku

#AskDC
#Hatukufundishi
#SeeYouAtTheTop
 
Fact kabisa,, design ya wanawake uliyowaongelea, nawa-heshimu kinoma na sitakuja kucheza na hisia zao hata siku moja ila hawa omba omba ni hit and run mpaka akili ziwakae sawa.
Hit and run ni wa kutafunwa tu kama chew gums
 
Anaandika MWAJAKU a.k.a DC wa Insta

#FACT- MWAMBINO chukua hii , Mwanaume unatakiwa kuwa na ubongo wenye macho kujua wazo linakokwenda na masikio yenye mzani wa kupima kila kauli ,na moyo wenye utulivu kuweza kuwa na subira katika uwekezaji wa mapenzi.

Mtandao wa #www.fortune.com umeonyesha thamani ya bei ya viungo vya mwanadamu.

Moyo una thamani ya $1.4 Million hizi ni sawa na Billion 3,241,062,369.86 kwa hiyo unapompenda mtu kwa moyo wako wote jua umewekeza billion 3,241,062,369.86 returns ya uwekezaji wako inatakiwa furaha,amani, na vicheko.

Ukipempenda mtu hutakiwi kutoa hata Tsh 1,ukiona unampenda mtu harafu anaomba pesa kuanzia vocha ,kusuka,nguo vunja mkataba wa uwekezaji wa upendo wa billion 3 ,anza kujipenda mwenyewe.

Baadhi ya wanawake siku hizi ama degree lakini anaomba pesa za kufanyiwa birthday party,kwenda out na hana ajira wala wazo la biashara.Mwanamke wa aina hii liability hafai kwenye maisha wala ndoa ,sababu ana mbegu ya kuharibu kizazi.

Ukiona mwanamke haombi pesa kisha anakupenda na kukuheshimu jua huyo ni assets ,mpe mtaji kuwa muwekezaji mzuri kwake sababu mwanamke bora huwa na mume bora.Mwanamke wa namna hii ndio wajenzi wa familia wanaoendeleza vizazi.

Kuhonga ni udhaifu na kumhudumia mwenza wako ni jukumu lako ,kuna tofauti ya kuhonga na kuhudumia, mwanamke bora haombi pesa hata siku moja.

Cc diamondplatnumz @officialzuchu @official_mwijaku @official_mwijaku

#AskDC
#Hatukufundishi
#SeeYouAtTheTop
Mwijaku Hana uwezo wa kumshaur Lolote Diamond , kuna watu wa kumshaur diamond lakini sio Mwijaku , mtu kila sku anamnyea kwenye mtandao Leo hii anakushauri , what the fu_ck , na hakuna mwanamke ambaye haombi pesa , hayupo labda waumbwe Aina ya wanawake wengine
 
Back
Top Bottom