Ujumbe kutoka Zanzibar

Du!

.....Ni Hasidi wa WAWAZANZIBA

Nilidhani kule ndio kiswahili 'sanifu' kilipoanzia

BTW, hayo yalikuwa maandamano ya nini hasa?
 
Du!

.....Ni Hasidi wa WAWAZANZIBA

Nilidhani kule ndio kiswahili 'sanifu' kilipoanzia

BTW, hayo yalikuwa maandamano ya nini hasa?

Tupe hicho kiswahili chako wewe utasema vipi badala ya neno "hasidi".

P:S
**Maandamano ya kuunga mkono maridhiano baina ya CUF na CCM katika jitihada za kuleta amani visiwani Zanzibar
 
Dah hizi siasa za kwetu......we haya tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…