Kila tokeo linalotokea weekeni kwenye diary zenu. Mtapata script nzuri sana huko mbeleko. Tanzania haijawahi kutokea RC aliyempa waziri amri.
RC mkuu wa ma RC utakumbukwa daima pia kwa juhudi za kutafuta watoto wa nje wa Mzee Lowasa, kutetea wajane, kuleta container la miguu ya bandia pasi kuwapima wagonjwa.
Bongo movie hii movie ikiandaliwa vyema utakuwa best seller.