Oh,huku bongo huo wimbo upo hewani tangu mwezi November last year.So nadhani kama ni kuusikia kesha usikie,sasa je kauelewa?Kama kauelewa katilia maanani yale yaongelewayo?Tutegemee lolote kutoka kwa kaka mkubwa?
Swadakta...... All in one song, haya tuone kama hii maneno itakuwa inafuatiliwa.... Mrisho Mpoto ametoa kitu clasical kabisa, ukweli mtupu!! Hongera Mrisho!!