Ujumbe kwa Mashabiki na wapenzi wa Yanga

Smt016

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
3,012
Reaction score
4,300
Ni vyema kusherekea pamoja na Simba na pia kuipongeza Simba kwa kile alichokifanya ili kuwatoa timu ya Platinum fc. Hii itasaidia sana kwa Yanga kutokuwa na presha kubwa sana kushindana na Simba katika kugombea usukani wa ligi Maana hata wakishika nafasi ya pili inaweza kuwabeba kwenda kushiriki klabu bingwa Africa. Simba imeirahisishia Yanga kwenye kuingia Klabu bingwa.

Hata ulaya haya mambo yapo timu kuibeba taifa. Kuna kipindi ligi ya Italy ilishuka kutoka kuingiza timu nne hadi kufikia kuingiza timu tatu, lakini baadae wanarudi tena kwenye kuingiza timu nne kama zamani kutokana na performance iliyoletwa na timu ya Juventus na kuiongozea point tafa ya Italy. Hapa uwezi sikia Juventus ikijisia kuwa imembeba timu fulani ila tu imeitetea taifa lake.

Ifikie wakati tusimame kwa pamoja Kama inchi na tuweke mafanikio ya taifa kwa ujumla.

Hongereni Simba kwa mara nyingine tena imeibeba taifa.
 
Acha kufananisha Juventus na vitu vya kijinga, yani unalinganisha juventus inayobeba kombe la Ulaya na Simba anbayo haivuki kwenye makundi?
 
mkuu mda si mrefu Manyani watakuja kukuharibia uzi...mojawapo ni hilo hapo juu....

Simba ni another level...hata manyani wanajua hilo.
 
Wenzio walivyo wabishi sasa sijui kama watakuelewa.
 
Acha kufananisha Juventus na vitu vya kijinga, yani unalinganisha juventus inayobeba kombe la Ulaya na Simba anbayo haivuki kwenye makundi?
Chuki chuki chuki utakufa wima mjomba😂
 
Hata ss yanga tunashangilia kwa kuwa tumeshapata nafasi ya kucheza kutokana na ushindi huo
 
mkuu mda si mrefu Manyani watakuja kukuharibia uzi...mojawapo ni hilo hapo juu....

Simba ni another level...hata manyani wanajua hilo.
Paka shume fc banaah
 
Acha kufananisha Juventus na vitu vya kijinga, yani unalinganisha juventus inayobeba kombe la Ulaya na Simba anbayo haivuki kwenye makundi?
Mkuu punguza povu, ngoja nikuwekee jinsi Simba ilivyovuka makundi

1610001661753.png
 
Acha kufananisha Juventus na vitu vya kijinga, yani unalinganisha juventus inayobeba kombe la Ulaya na Simba anbayo haivuki kwenye makundi?
Bora Simba, je timu lako lenye rangi ya mavi Yanga si ndio uharo kabisa.
 
Nasisi msimu ujao[emoji3575][emoji3575][emoji3575][emoji3575]Kama kawaida ,[emoji881][emoji881][emoji881]hongera japokuwa moyoni naumia.
 
Naona manyau fc wanajitekenya afu wanacheka wenyewe
 
Back
Top Bottom