Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Ni vyema kusherekea pamoja na Simba na pia kuipongeza Simba kwa kile alichokifanya ili kuwatoa timu ya Platinum fc. Hii itasaidia sana kwa Yanga kutokuwa na presha kubwa sana kushindana na Simba katika kugombea usukani wa ligi Maana hata wakishika nafasi ya pili inaweza kuwabeba kwenda kushiriki klabu bingwa Africa. Simba imeirahisishia Yanga kwenye kuingia Klabu bingwa.
Hata ulaya haya mambo yapo timu kuibeba taifa. Kuna kipindi ligi ya Italy ilishuka kutoka kuingiza timu nne hadi kufikia kuingiza timu tatu, lakini baadae wanarudi tena kwenye kuingiza timu nne kama zamani kutokana na performance iliyoletwa na timu ya Juventus na kuiongozea point tafa ya Italy. Hapa uwezi sikia Juventus ikijisia kuwa imembeba timu fulani ila tu imeitetea taifa lake.
Ifikie wakati tusimame kwa pamoja Kama inchi na tuweke mafanikio ya taifa kwa ujumla.
Hongereni Simba kwa mara nyingine tena imeibeba taifa.