Ujumbe kwa Membe: Kuwa mpinzani Tanzania ni jambo gumu na la wito kweli kweli

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
11,936
Reaction score
15,196
Wandugu habari kwenu.

Huyu mwamba alituaminisha kwamba anaweza kupambana.

Akaenda kwa Zitto, Zitto akampa nafasi kubwa tu. Mshauri wa chama. Membe akateuliwa kuwa mgombea wa urais. Akaishia kujikunyata na kujiita mzee wa dk 89. Wewe Membe leo kaikana ACT hadharani.

Ujumbe kwa Membe, kuwa mpinzani Tanzania ni jambo gumu na la wito kweli kweli.

Wape salaam.
Ikikupendeza futa case ya Musiba.
 
Wandugu habari kwenu.
Huyu mwamba alituaminisha kwamba anaweza kupambana na lile dubwasha.
Akaenda kwa zitto zitto akampa nafasi kubwa tu .mshauri wa chama. Membe akateuliwa kuwa mgombea wa uraisi. Akaishia kujikunyata na kujiita mzee wa dk 89. Wewe membe leo kaikana ACT hadharani .
Ujumbe kwa membe, kuwa mpinzani Tanzania ni jambo gumu na la wito kweli kweli.
Wape salaam.
Ikikupendeza futa case ya musiba.
Bora umetumia bando lako maana haya makampuni ya simu hatari, unaweza ukaamka kesho wamekomba lote.
 
Wandugu habari kwenu.
Huyu mwamba alituaminisha kwamba anaweza kupambana na lile dubwasha.
Akaenda kwa zitto zitto akampa nafasi kubwa tu .mshauri wa chama. Membe akateuliwa kuwa mgombea wa uraisi. Akaishia kujikunyata na kujiita mzee wa dk 89. Wewe membe leo kaikana ACT hadharani .
Ujumbe kwa membe, kuwa mpinzani Tanzania ni jambo gumu na la wito kweli kweli.
Wape salaam.
Ikikupendeza futa case ya musiba.
Mbuzi wa bwana heri na shamba la bwana heri
 
Wandugu habari kwenu.
Huyu mwamba alituaminisha kwamba anaweza kupambana na lile dubwasha.
Akaenda kwa zitto zitto akampa nafasi kubwa tu .mshauri wa chama. Membe akateuliwa kuwa mgombea wa uraisi. Akaishia kujikunyata na kujiita mzee wa dk 89. Wewe membe leo kaikana ACT hadharani .
Ujumbe kwa membe, kuwa mpinzani Tanzania ni jambo gumu na la wito kweli kweli.
Wape salaam.
Ikikupendeza futa case ya musiba.
Aiseee , dubwasha ndio nani sasa ?
 
Membe watu walimpa sifa kubwa naye akajitapa sana na maneno yake mbali mbali kimbunga kumba kumba etc kumbe MTUPU TU!

Kisiasa amejimaliza; kama kuna mtu anampenda amshauri akaanzishe shamba la korosho huko kwako.!!
 
Msimlaumu na nyie wa ufipa mlimpa kichwa then mkamtosa mkakimbilia Brussels [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom