Uchaguzi 2020 Ujumbe kwa Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu

Uchaguzi 2020 Ujumbe kwa Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
508
Reaction score
788
Wakuu habari!
Niende moja kwa moja kwenye mada.ujumbe huu umfikie rais Joseph magufuri.

Katika uchaguzi huu magufuri atashinda kwa asilimia nyingi sana kwani mengi amefanya aliyoyahahidi kipindi cha 2015.

Kitu kinachomtia DOA mpka sasahivi ni ajira kwa vijana hasa wale waliomaliza shahada ya masomo ya sanaa.

Ajira za walimu hasa za masomo ya sanaa azijatoka toka mwaka 2015 mpka sasahivi.

Hivyo basi rais ukipata huu ujumbe tunaomba utoe ajira za walimu kwani hawa wengi wao ni watoto wa masikini wanategemewa na ukoo mzima kama sio familia.

Ukitoa ajira moja utakuwa umepata kula zaidi ya 20 kwani wengi wa hawa walimu wahiti ni watoto wa masikin kwa hali hiyo utashinda kwa asilimia 99.9%.

Ajira ajira rais magufuri.
 
Nyanya zinaharibika bure huko Morogoro au mpaka uwe umehitimu masomo ya sayansi kuzifanzia packing na kuzileta hapa Dar Es Salaam na kuziuza!
 
Unajipigia debe,jiajiri mwenyewe,bajeti imefika kikomo,nenda kijijini ukalime
 
Jiwe ni Jiwe hategemei kushinda bali ana uhakika wa kutangazwa kwa kuwa tume na majeshi ndiyo nyenzo alizowekeza kumubeba, hategemei kura yako!
Vijana wapambane na hali yao!
 
Back
Top Bottom