Ujumbe kwa Rais Samia; Mwalimu Mkuu wa Kitinku awafukuza shule watoto wa Mzee Salum kwa sababu wanakwenda kuswali siku ya ijumaa

Umetoa mfano wa hovyo mtu na imani yake anazungumzia Ijumaa anakwenda kuswali wewe unazungumzia kuchunga ng'ombe wacha tuishie hapa naona unashika kete yeyote..
Ijumaa nilazima watoto waende shule ,ila ikifika saa sita hadi saa nane wanaenda kuswali ,kwahiyo kama huyo mzeee anawazuiya watoto wasiende shule ijumaa ,watoto wanahesabika kama watoro so mwalimu atakua sahihi,ila pia kama mda wakuabudi ukifika hawapew nafasi yakuswali ,huyo mwalim atakua na makosa
 
Poleni sana shemeji zangu - hilo jambo lifikisheni kwa mratibu elimu kata, Mbunge wenu Dkt Chaya au afisa elimu.

Ni suala dogo sana.

Mkwe wenu
 
Sawa nimekuelewa vizuri brother
 
Dini zote ni utumwa wa fikra
 
Ibugui vipi mbona siku ya mapumziko ni siku ya jumamosi na j pili hili wagaratia waende kanisani kumuabudu mwana wa mariamu,iweje waisilamu wapate masaa 2 tu ya kwenda msikitini tena wanafunzi tu hilo ulioni?
Mzee unataka tuwe na siku tatu za mapumziko?
 
Mkuu acha upotoshaji katiba inatumbua siku mbili za mapumziko Jumamosi na Jumapili.

Kuita Jumapili ni siku ya Mapumziko kwa Wakristo ni uongo uliotukuka.
 
Walimu wapo sahihi wanawajuwa wanafunzi wao zaid ata ya wewe unaowatetea, kipindi nasoma ilikuwa tunaruhusiwa kwenda msikitini na kurudi kuendelea na masomo yaliobaki ila sisi tulikuwa uko msikitini atuendi tunaingia chimbo tunaenjoy na aturudi ten class adi j3, apo adi wakristo walikuwa wanasingizia eti mi nimefuata dini ya mama ilimradi wakaenjoy, unakuta msikitini wanaenda wawili au watatu

Wakaja boresha ijumaa iwe masomo kdigo na michezo kwa sana so muda wa drassn unaishia saa sita ukitaka ubaki kucheza au uende uko msikituni wakawa wamekata mziz wa fitina apo sasa sijui kwasasa au mtoa mada anasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…