12 March 2025
View: https://m.youtube.com/watch?v=IvXf5JgmIxs
Inaonesha jeshi la serikali ya Kongo FARDC na mgambo wa FDLR walikuwa wamejipanga kuivamia Rwanda kutokana na mpangilio wa zana zilivyopangwa (formation) kuelekea nchi ya Rwanda. Mhariri mtendaji James Munyaneza anasimulia kwa undani hali hiyo alivyokuwa amejipanga Tshisekedi ..
Misaada ya kimataifa inatumika na mataifa makubwa kama silaha ya kivita (Aid as a weapon tool), kuburuza nchi za kiafrika ... kutaka zifanye mambo nchi beberu zinataka ...
Mheshimiwa rais Kagame una ujumbe gani kumwambia rais Felix Tshisekedi ?
Kwa kweli ninamhurumia Felix Tshisekedi kwa kuwa rais wa Kongo, ajibu mheshimiwa Kagame baada ya kuulizwa swali hilo gumu kutokana na hali iliyopo sasa eneo hilo la nchi za Maziwa Makuu..
UN kwa miaka 24 iliyopita, imetumia US$ 40 bilioni kugharamia majeshi ya kulinda amani Congo kutoka Latin Amerika, Bara Asia na wale wa kutoka bara Afrika, hiki ni kiasi kikubwa cha 'misaada' lakini hakuna Amani Congo, tujiulize ki kwanini..
Amani nchini Kongo itapatikana tu kama serikali ya Kinshasa ya Tshisekedi watakubali kukaa katika meza moja na kundi la M23 kuzungumzia, hapo amani ndiyo itapatikana asema Rais Kagame akijibu swali la Mario Nawfal blogger mwandishi wa kiMarekani..
Pia Kongo isisahau umuhimu wa usalama wa Rwanda, kwa kukidhibiti kikundi cha mgambo wa Intarahamwe cha FDLR, ...
A message to President Tshisekedi | Aid | Rwanda's Dignity | President Kagame talks to Mario Nawfal
Walitaka nchi ya Rwanda iwe tupu watu wakimbie, tunakumbuka mamilioni ya waNyarwanda waliwahi kukimbilia Tanzania, Congo na UgandaView: https://m.youtube.com/watch?v=IvXf5JgmIxs