Ujumbe Kwa Tanapa - Utalii



Tuko pamoja Mkuu!
 
Tatizo hapa si kweli kuwa bali hata ikiwa kweli nothing this big potatoes will do. They damn cover each other.

Mkuu;

Shida ndiyo ipo hapo. Hii vita ya Ufisadi ni ngumu sana.
 
UWT=Usalama Wa Taifa = Usalama Wa Tumbo (La Mafisadi)

Simple and clear!


mimi niliwahi kusema vijana wetu wa usalama wako hoi. Fikiria kile kidude walicho mtegeshea Dr. Slaa, kweli kwa idara ya usalama makini watatumia vidude vile ambavyo havina siri? Aibu tupu
 
Issue hii tuliiongelea hapa JF a few weeks ago, kumbe Bigurube ni member na alitusoma na sasa ameamua kumwaga manyanga, well done JF.

 
Last edited by a moderator:

This Balele fellow should also resign. This kind of incompetence should not be tolerated.
 
Hao walifanya huo ubadhilifu chini ya MAMA BLANDINA NYONI.
 
Hao walifanya huo ubadhilifu chini ya MAMA BLANDINA NYONI.

EWaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... BUt be very worried kwasababu kuna watu watakuja hapa na kusema Blandina is very good na hakuhusika!!! walio ndani wanalijua sana hili ila basi tu!!!

Bigurube is not alone, but i give him big up for "submitting to wananchi" for his wrongdoings ndani ya ukurugenzi

I wish wafuatao wangefuata

  • Mkurugenzi mkuu wa Bandari
  • Mkurugenzi wa NSSF
  • Mkurugenzi Tanesco - naona sasa anapumua kidogo na wana JF
  • Mainjinia wakuu wa manispaa zote za Dar
  • Mkurugenzi wa BUgando Medical Centre - wanaohusika wanaelewa saaaana
Kisha tuje kwa mawaziri

Swali: hivi hili la kuondoka Bigurube, Mkulu hana mkono wake?

 
Sasa wasomaji tuelewe vipi, Bigurube amekataa kuliongelea swala hili kwa kuwa sio "msemaji rasmi" au amesema TANAPA kuna "watafuta wachawi"? Hakuna gazeti hata moja nchini linaloweza kuandika kitu chenye sense?
 
Sasa wasomaji tuelewe vipi, Bigurube amekataa kuliongelea swala hili kwa kuwa sio "msemaji rasmi" au amesema TANAPA kuna "watafuta wachawi"? Hakuna gazeti hata moja nchini linaloweza kuandika kitu chenye sense?

Communication za wabongo huzijui?

Yaani anaposema yeye sio msemaji rasmi maana yake si anakataa kuongelea kila kitu, anakataa kuongelea vile tu ambavyo hataki kuongelea, vile anavyotaka kuongelea ataviongelea hata kama si msemaji rasmi.Such double standards and hypocrisy.
 

Yawezekana mkuu. Mara nyingi unasikia mtu kajiuzuru kumbe nyuma ya mlango alishapewa ultimatum ya aidha kujiuzulu au kufukuzwa kazi. Ili mtu kuondokana na aibu ya kuwa fired anaamua kujiuzulu.
 

Kwa hiyo, wenyewe wanaelewana? Labda mimi ndio napata shida kuelewa haya mawasiliano ya Kibongo...
Mtu anasema yeye si msemaji wa TANAPA halafu anaongeza TANAPA kuna kutafutana uchawi!
 
Kwa mujibu wa Mdau mmoja wa TANAPA-HQ, ni kwamba Bw. Bugurube amewasilisha barua ya ku-resign lakini haifahamiki ni nin haswa kinaendelea. Wengi ndani ya TANAPA wanahisi kuwa Mr. President hajapendezwa na uamuzi wa Bw. Bigurube kujiuzulu (inasemekana wawili hawa ni maswahiba wakubwa) na huenda aka-reverse hayo maamuzi na badala yake baadhi ya maafisa wa ngazi za juu ndani ya TANAPA kuondolewa.

Btw, kwa mujibu wa Bi. Mwangunga, the CAG report that uncovered some misuse of funds at TANAPA was incorrect and it's being reviewed. So, that scandal may turn out to be non-issue. Regarding CNN adverts, the fact is the deal was engineered by Govt. officials and TANAPA was simply ordered to pay. And to put the records clear, they were also ordered to enter into agreement with CNN (or agent), of which they were not part of the negotiations. If there is any foul play by TANAPA, it's largely due to the Government interference of this autonomous institution charged with conserving wildlife in Tanzania.

All this is according to Ms Mwangunga, when she was concluding her budget speech at the parliament last week.
 
Mambo Jambo,

Kusema kwamba Bw. Bigurube anajiuzulu eti kwa kuwa alipitia ile thread hapa JF ni oversimplification and indicates your lack of knowledge on the matter.
 
Mambo Jambo,

Kusema kwamba Bw. Bigurube anajiuzulu eti kwa kuwa alipitia ile thread hapa JF ni oversimplification and indicates your lack of knowledge on the matter.

Kashaona Bigurube ana "pull a Palin" eenh?

Hata huyo Plin alikuwa na ka backbone kidogo.
 
Kwa hiyo, wenyewe wanaelewana? Labda mimi ndio napata shida kuelewa haya mawasiliano ya Kibongo...
Mtu anasema yeye si msemaji wa TANAPA halafu anaongeza TANAPA kuna kutafutana uchawi!

Mkuu Dilunga,

Usiumize sana kichwa hao ndiyo watendaji wakuu wa Taasisi/Mashirika yetu. Mkurugenzi Mkuu anasema yeye siyo msemaji, sasa nani anatakiwa kuwa msemaji?

Hata hao Maafisa Habari ama Meneja Uhusiano walio chini yake huwa wanaongea/wanasema kwa niaba ya CEO. Usikute hapo Meneja Uhusiano aliulizwa akasema hajui na akamuomba mwandishi wa habari amtafute Bigurube mwenyewe (CEO) kwa kuwa lazima atakuwa anafahamu kwa sababu yeye ni mhusika mkuu, pia ni msemaji mkuu wa shirika na official commucations zote za siri lazima zipitie kwake.

Ndiyo maana ukisoma news nyingi za magazeti, utakuta source ni anonymous na majina ya wahusika yanahifadhiwa kwa sasa, na inawezekana yakahifadhiwa daima wala usije kujua wahusika walikuwa ni akina nani.

Hilo pekee linakupa picha halisi kwamba kupata verified info kutoka kwenye source lazima news hiyo iwe ni good news kwa CEO (haimhusu yeye wala management), hapo ndipo hata magazeti yatataja majina ya source ya news mpaka na wahusikwa wenyewe. Lakini kama news inagusa wakubwa utasikia majina yanahifadhiwa kwa sasa. Kuna urasimu mkubwa sana kupata news ambazo zinagusa maslahi ya wakubwa.
 
Mambo Jambo,

Kusema kwamba Bw. Bigurube anajiuzulu eti kwa kuwa alipitia ile thread hapa JF ni oversimplification and indicates your lack of knowledge on the matter.


Mkuu hapo nakubaliana na wewe.. kuongezea tu ni kuwa kweli hizi fununu za huyu mkulu wa TANAPA kuondoka zilikuwepi muda mrefu tu na watu walishajua kuwa ataondoka mwezi wa sita, na kwamba mkulu JK alishabariki maamuzi yake kama namna ya kuondoka kistaarabu...kwa sababu madudu yaliyopo huko si ya kitoto!
 
Blandina ndiye alikuwa mtendaji mkuu kwa kuwa katibu mkuu wa wizara hiyo.
Maghembe ni mwanasiasa si mtendaji.
 

Ni kweli Kaizer hizo fununu zilikuwepo siku nyingi sana zilishasikika kuwa ataresign,na hata last week kuna mtu alikuja kunitembelea anafanya kazi TANAPA akanieleza kuwa Mr Bigurube sasa amesharesign.
kwa kweli ukisikia mambo ya hilo shirika utashangaa sana. Ni mambo ya ajabu sana,na sasa hivi inasemekana kuwa vile vimianya walivyokuwa wanavitumia kupata pesa vingi vimezibwa kwa hiyo wengi waliokua wanacheza hizo deal kiasi fulani wameathirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…