Ujumbe huu kwa uongozi wa Simba Day & Yanga wenye imani ya dini ya kiislam (Wasiokuwa waislam haiwahusu)
Mapambio yanaaza ynaanza saa 9 hadi saa 5 usiku.
Swala ya Alaasiri
Swala ya Magharibi
Swala ya Isha
hizo swala zote zinakosekana
Tunajua madhara ya kuacha hizi swala kwa swala la michezo kama hii?
Michezo ni anasa tu
"Mtume Muhammad (S.A.W.) alisema: 'Hakika mtazifuata nyendo za walio kabla yenu shubiri kwa shubiri na dhiraa kwa dhiraa (hata) kama wakiingia kwenye shimo la kenge nanyi mtawafuata.' Tukasema: 'Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu! (Unamaanisha) Mayahudi na Manasara?' Akasema: 'Ni nani basi (ninayemaanisha) wengine isipokuwa wao?'" (Sahih Bukhari, Kitabu cha Manabii, Hadithi ya 3456)
Mtume Muhammad (S.A.W.) alisema: "Jambo la kwanza ambalo mja ataulizwa Siku ya Kiyama ni sala. Ikiwa sala zake zitakuwa nzuri, basi matendo yake mengine yote yatakuwa mazuri pia." (Hadithi ya Bukhari na Muslim)
Siku hiyo mtu atamkimbia ndugu yake, Na mama yake na baba yake, Na mkewe na wanawe. Kila mtu miongoni mwao siku hiyo atakuwa na jambo la kumtosha mwenyewe." (Qur'an 80:34-37)