Ujumbe kwa waamuzi watakaochezesha mechi ya leo ya Yanga dhidi ya Simba

Ujumbe kwa waamuzi watakaochezesha mechi ya leo ya Yanga dhidi ya Simba

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Bila shaka mtakuwa mmejifunza kwenye mech za kimataifa za CAF, mtakuwa mmeona waamuzi wa kimataifa namna wanavyoamua kwa kufuata sheria, na si kwa kufuata Ushabiki.

Naomba myazingatie yafuatayo;
  • Kataeni rushwa.
  • Fuateni sheria katika maamzi yenu.
  • Acheni kuongozwa na ushabiki, kumbekeni ninyi ndiyo mnasababisha tupate bingwa wa kutuletea aibu kimataifa.

Mkizingatia hayo leo sitegemei kuona yafuatayo:
  • Kugawa penati hovyo hovyo, hapa kuweni makini sana, nahisi mmeona mechi za kimataifa yaani hawatoi penati hovyo hovyo kama mnavyotoa nyie hapa Bongo.
  • Kutoa kadi nyekundu hovyo hovyo.

Na mwisho nawaomba mchezeshe kwa weledi ili tupate bingwa mzuri atakayetuwakilisha vyema kimataifa.

Kama kuna kitu nimesahau karibuni muongezee wadau wa soka.
 
Mwumuzi wa leo huwa ana upuuzi sana,akishakula pesa ya gsm anawadekeza sana wachezaji wa utopolo.
Hawa wachezaji huwa wameambiwa kuwa jamaa tayari alishakula vyetu hivyo wanakuwa wakorofi sana.
Mfano Djuma Shabaan huwa anacheza mieleka,anakaba kwa ku push wachezaji na hakuna adhabu anayopewa.
 
gsm asikie na aelewe ujumbe huu unaomuhusu kwenye bahasha na tigopesa.
 
Back
Top Bottom