44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
Bila shaka mtakuwa mmejifunza kwenye mech za kimataifa za CAF, mtakuwa mmeona waamuzi wa kimataifa namna wanavyoamua kwa kufuata sheria, na si kwa kufuata Ushabiki.
Naomba myazingatie yafuatayo;
Mkizingatia hayo leo sitegemei kuona yafuatayo:
Na mwisho nawaomba mchezeshe kwa weledi ili tupate bingwa mzuri atakayetuwakilisha vyema kimataifa.
Kama kuna kitu nimesahau karibuni muongezee wadau wa soka.
Naomba myazingatie yafuatayo;
- Kataeni rushwa.
- Fuateni sheria katika maamzi yenu.
- Acheni kuongozwa na ushabiki, kumbekeni ninyi ndiyo mnasababisha tupate bingwa wa kutuletea aibu kimataifa.
Mkizingatia hayo leo sitegemei kuona yafuatayo:
- Kugawa penati hovyo hovyo, hapa kuweni makini sana, nahisi mmeona mechi za kimataifa yaani hawatoi penati hovyo hovyo kama mnavyotoa nyie hapa Bongo.
- Kutoa kadi nyekundu hovyo hovyo.
Na mwisho nawaomba mchezeshe kwa weledi ili tupate bingwa mzuri atakayetuwakilisha vyema kimataifa.
Kama kuna kitu nimesahau karibuni muongezee wadau wa soka.