Ujumbe kwa wanaume kuhusu wanawake

Ujumbe kwa wanaume kuhusu wanawake

RedPill Prophet

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2023
Posts
1,408
Reaction score
3,564
Nawakumbusha:
Unaponunua gari daima ni bora kwenda kwa muuzaji na kununua gari jipya kabisa. Lakini ikiwa hutaweza kununua gari mpya kabisa, basi upate moja bila wamiliki wengi wa zamani, mara tu unaponunua gari lililotumika, unahitaji kufahamu ukweli kwamba, hautakuwa peke yako kuiendesha. Mara kwa mara itabidi kutumia usiku katika warsha, na mechanics hujaribu kila mara kuiendesha.

Itahitaji ujuzi maalum wa kuendesha gari, injini itakuwa imechoka. Wamiliki wa hapo awali walikuwa wakipanda kwa muda mrefu, wengine walikuwa wagumu wakati wa kupanda, hata hawakupaka mafuta.
Wengine waliibeba kwa mizigo mizito Hutajua amani, wakati fulani utawaona madereva wengine wakiwamulika taa, kwa sababu wanalitambua gari au waliwahi kulimiliki wakati fulani.

Watu wengine wanazungumza mara kwa mara nyuma yako "ni ajabu kwamba gari analoliendesha yule jamaa tumewahi liendesha nyuma", Si salama, utaishi kwa hofu ya mara kwa mara ya wamiliki wa awali, kuivunja na kuiendesha Na hutawahi kupata hisia sawa za kiburi kama yule aliyenunua bidhaa yake mpya. Fikiria juu yake, mchakato mzima wa kubadilisha karatasi kutoka kwa mmiliki wa zamani hadi kwako Kila kitu kuhusu hilo kinadhoofisha - kimwili, kihisia na kifedha.

Na ndio, chapisho hili halihusu magari.

Ni hasara kubwa kuoa mwanamke asiye bikra ama aliyekuwa na mahusiano na wanaume wengi maana unatakiwa kuwa bora kuliko wa nyuma ili uendelee kuwa mwanaume wake. Isipokuwa hivyo jiandae kulea watoto wa wanaume wenzio.

Jifunze upone au usizingatie uangamizwe.
 
Wengine huwa mnajiongezea mistress isiyo na maana tu
Hebu jalini Afya zetu aisee mbona mnachukulia sana wanawake serous sanaa!!
Kama wewe unaendesha magari mengi unaumiaje gari lako kuendeshwa na watu wengi?
Yaani kama wewe mjepukaji mke wako akichepuka inakuuma nini sasa?
Afya ya akili ni muhimu sana kuchungwa
 
Utakua mtoto mdogo wewe...kwanza kufananisha gari la mwanamke hakuna uhusiano, pili uzinzi na uasherati sio kwa wanawake tu..hata wewe huyo mkeo au watoto wako hawatajiskia vizuri kama umekua ukitembeza huo mkono wako wa tatu bila busara
Tatu, uliishawahi jiuliza kama mama yako wakati anaolewa na baba yako alikua bikra..??Unajua wangapi walipita mpaka baba yako nae akajiongeza humohumo na wewe ndo ukazaliwa..na leo ndo anaandika kuponda wasio mabikra??
Dada zako, ndugu zako wa kike wote ni mabikra kwa hiyo unataka wazee kee kwenu??
 
That's what it means to buy a used car 🚗
 
Unajua kuwa siku hizi kuna mabinti wanaobikiriwa hata na mtaa mzima?

Screenshot_20240601_162818.jpg

➡️➡️➡️ Na pengine kabla ya kulalamikia umiliki wa gari lililoendeshwa sana nawe jiulize magari uliyoyaendesha mpaka kuyatia ukuukuu. Ulitegemea nani aje ayaendeshe huko mbele ya safari?
 
Wengine huwa mnajiongezea mistress isiyo na maana tu
Hebu jalini Afya zetu aisee mbona mnachukulia sana wanawake serous sanaa!!
Kama wewe unaendesha magari mengi unaumiaje gari lako kuendeshwa na watu wengu?
Yaani kama wewe mjepukaji mke wako akichepuka inakuuma nini sasa?
Afya ya akili ni muhimu sana kuchungwa
Acha nihubiri habari njema kuwaamsha wanaume wote hasahasa wale simps.
 
Utakua mtoto mdogo wewe...kwanza kufananisha gari la mwanamke hakuna uhusiano, pili uzinzi na uasherati sio kwa wanawake tu..hata wewe huyo mkeo au watoto wako hawatajiskia vizuri kama umekua ukitembeza huo mkono wako wa tatu bila busara
Tatu, uliishawahi jiuliza kama mama yako wakati anaolewa na baba yako alikua bikra..??Unajua wangapi walipita mpaka baba yako nae akajiongeza humohumo na wewe ndo ukazaliwa..na leo ndo anaandika kuponda wasio mabikra??
Dada zako, ndugu zako wa kike wote ni mabikra kwa hiyo unataka wazee kee kwenu??
Mama alikuwa bikra, niliambiwa kabisa na wazee.
Mimi sio zao la uchafu.
Nawaponda kwasababu ni wanawake walioweza vua utu wao bure alafu wanataka waolewe na wanaume watakaosamehe historia yake.
 
Back
Top Bottom