Elections 2010 Ujumbe kwa watanzania Wana CCM

Tumevamiwa...jamani ...nambari wani...wamevamia...jamani nambari wani wanalitawala jukwaa....jamani nambari wani baada ya kuweka matangazo ya wagombea wao mpaka kwenye vyoo vya umma kwa fedha za walipa kodi wanaleta mpaka humu JF...jamani...jamani...jamani...!!
 
What a prick! Kwa udume upi? maendeleo yapi?
Mbona hizo harakati za campaign na kujitangaza kwa nguvu zote hizo na ubunifu huu hatuuoni linapokuja suala la maendeleo ya mtanzania.
Liko wapi hata jambo moja la kujivunia amabalo CCM imefanya miaka 5 iliyopita?

Aibu!!!
 

Samahani.Eti kwani hapa ni kwa wapinzani peke yao???
 

Huwa unatembea angani au wapi???I hope huifananishi Tanzania na mitaa ya San Fransisco katika arguments zako!!Watakucheka wananchi!
 
Junius,
Asante kwa tahadhari. Wala sikulifungua hilo lidude.
 
Samahani.Eti kwani hapa ni kwa wapinzani peke yao???

Hata mimi nashangaa ukitoa hoja unasikia tumevamiwa jamani. Dissapoiting. Labda tuuite forum ya wapinzani. Sasa sisi tunaongalia issue unbiased sijui itakuwaje.
 
Umeona.Ni vizuri
Nimeona ila video yako imeishia katikati kwenye sekunde ya 30 ilikuwa hivi..........

Aiseeee...................

......................................................
 
Nimeona ila video yako imeishia katikati kwenye sekunde ya 30 ilikuwa hivi..........

Aiseeee...................

......................................................

Huna jipya mdogo wangu.With time utaitwa Panadol
 
Ndiyo nimeona hata hawa walikuwepo



Wanasubiri mgawo wa fedha za walipa kodi!! jamani jamani akina mama zangu, tafadhali uchaguzi ukiisha tusianze kutafutana mara ooooo naomba mwanangu hiki siunajua tena serikali haitujali siye wazee! Makosa hayo mnayafanya, muendelee lakini kuna siku mtajuuuta kuyafanya.
 
Sasa kauli za ki- chauvinistic kama hivo eti ni 'chama dume', unashawishika kuona kwamba matatizo ya vibaraka na mashabiki wa CCM yanaanzia mbali sana.
 
Rudisheni kwanza fedha zote za umma alizopatiwa aliyekuwaMwweka hazina wa CCM taifa Marehemu Salome Mbatia na mafisadfi wa EPA. Tulidhani alipatwa na ajali ya kawaida kumbe mlimuua ili kuficha ushahidi.
 

Maendeleo hayaletwi na chama cha siasa,bali yanaletwa na watu wote kwa kufanya kazi kwa juhudi na maarifa. je wewe umefanya nini katika miaka hiyo 5 iliyopita katika kuleta maendeleo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…