bobishimkali
Member
- Aug 25, 2010
- 59
- 0
Ofcourse ni ujumbe mzuri
Sasa kauli za ki- chauvinistic kama hivo eti ni 'chama dume', unashawishika kuona kwamba matatizo ya vibaraka na mashabiki wa CCM yanaanzia mbali sana.
Anayeweza kusibitisha ugonjwa wa mtu ni doctor pekeyake, na doctor tayari amebainisha kwamba mgombea wa ccm siyo mgonjwa, kama nyie mnavyotumia vipimo vyenu vya kuagua kwa mganga wa kienyeji. Mmeishiwa sera na mikakati ya kumnadi mgombea wenu wa CHADEMA, mmebaki kupiga majungu na fitina zisizokuwa na msingi
Mfa maji hakosi kutapatapa kama mnavyofanya sasa
tandale one a.k.a MS Mpya rudi kwenu kwa Mtogole hujui ulitendalo.
Hata mimi nashangaa ukitoa hoja unasikia tumevamiwa jamani. Dissapoiting. Labda tuuite forum ya wapinzani. Sasa sisi tunaongalia issue unbiased sijui itakuwaje.
PhD ya kuota utapew uwaziri wa habari na uchokonozi jamaa wakishinda au??tandale one a.k.a MS Mpya rudi kwenu kwa Mtogole hujui ulitendalo.
Vimeo wengi.Wabeba box wana taabu sana.Warudi Rufiji kutekeleza sera ya kilimo kwanza.
Samahani.Eti kwani hapa ni kwa wapinzani peke yao???
pisha njia eee , pisha njia eeeeh, CCM inakuja
CCM number one, CCm Number ONi
Sasa kauli za ki- chauvinistic kama hivo eti ni 'chama dume', unashawishika kuona kwamba matatizo ya vibaraka na mashabiki wa CCM yanaanzia mbali sana.
Kweli ni namba one for all the wrong reasons, EPA, RICHMOND, KAGODA, MEREMETA, RADAR...to mention only a few.
Wee unafikiri kila mtu humu ni mbeba box? Nyie sio wale wale wa tandale wabeba viroba?
Asante sana kwa kuliona hilo. Nilidhani mi peke yangu nimeona.
Halafu eti wanawake wanamshangilia kwa vigelegele kabisa!
Vimeo wengi.Wabeba box wana taabu sana.Warudi Rufiji kutekeleza sera ya kilimo kwanza.
Rudisheni kwanza fedha zote za umma alizopatiwa aliyekuwaMwweka hazina wa CCM taifa Marehemu Salome Mbatia na mafisadfi wa EPA. Tulidhani alipatwa na ajali ya kawaida kumbe mlimuua ili kuficha ushahidi.
Asante sana kwa kuliona hilo. Nilidhani mi peke yangu nimeona.
Halafu eti wanawake wanamshangilia kwa vigelegele kabisa!