Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
tumeletewa fiber, sasa mawasiliano bwerere, na tuko njiani kwa mradi mkubwa ICT kwa elimu unaojulikana kwa Tanzania Beyond Tomorrow
nyie lieni tu
Samahani.Eti kwani hapa ni kwa wapinzani peke yao???
Wanasubiri mgawo wa fedha za walipa kodi!! jamani jamani akina mama zangu, tafadhali uchaguzi ukiisha tusianze kutafutana mara ooooo naomba mwanangu hiki siunajua tena serikali haitujali siye wazee! Makosa hayo mnayafanya, muendelee lakini kuna siku mtajuuuta kuyafanya.
kwa wapenda maendeleo, so wewe unasema kasi zaidi wakati hata kidogo haipo are you illision personal ?ww kweli unaweza kuweka pumba hzo hapa ?uhuru unao ila kweli akili zako timamu unaweka huo upupu hapa?
What a prick! Kwa udume upi? maendeleo yapi?
Mbona hizo harakati za campaign na kujitangaza kwa nguvu zote hizo na ubunifu huu hatuuoni linapokuja suala la maendeleo ya mtanzania.
Liko wapi hata jambo moja la kujivunia amabalo CCM imefanya miaka 5 iliyopita?
Aibu!!!
Whether ni pumba or not huo ni mtazamo ndugu yangu.That's what you say kwamba ni pumba but wapo,tena wengi wanaojua si pumba (CCM has 5million registered voters).
Pumba !
Pumba !
Maendeleo huletwa na watu wenyewe.Serikali ni muwezeshaji tu.
That is the Fact. Ila kama Kiongozi mkuu wa serikali yuko katika hali hii? Unategemea nini?
kwa wapenda maendeleo, so wewe unasema kasi zaidi wakati hata kidogo haipo are you illision personal ?ww kweli unaweza kuweka pumba hzo hapa ?uhuru unao ila kweli akili zako timamu unaweka huo upupu hapa?
Ofcourse ni ujumbe mzuri
Quinine, ile ambulance bado anaongozana nayo kwenye misafara yake au ameacha siku hizi? Duh, hiyo katuni ni noma.
Ila from the original post, what does it mean by dume la mbegu? Maana nijuavyo mimi kwa kurefer ng'ombe dume la mbegu kazi yake ni kupanda majike tu halina jipya. Dume halisi ni maksai ambalo ndo linaweza kuvuta jembe. Ina maana udume wa CCM ni kwenye wamama tu na si kufanya shughuli za maendeleo?
What a prick! Kwa udume upi? maendeleo yapi?
Mbona hizo harakati za campaign na kujitangaza kwa nguvu zote hizo na ubunifu huu hatuuoni linapokuja suala la maendeleo ya mtanzania.
Liko wapi hata jambo moja la kujivunia amabalo CCM imefanya miaka 5 iliyopita?
Aibu!!!
Jamani TandaleOne alitangaza kuwa hii thread ni kwa ajili ya wanaCCM naomba tumwache aendelee kuwaimbia totolala wanachama wenzake sisi tuendelee kujadili mada muhimu ya kujenga taifa...
Ujumbe mwingine Rais wangu anaoutoa ni huu tushirikiane kuueneza
Maendeleo hayaletwi na chama cha siasa,bali yanaletwa na watu wote kwa kufanya kazi kwa juhudi na maarifa. je wewe umefanya nini katika miaka hiyo 5 iliyopita katika kuleta maendeleo?