Ujumbe kwako

Ujumbe kwako

Mazhuly

Member
Joined
Aug 12, 2018
Posts
17
Reaction score
5
Wakati mwingine tuwaze, tufikiri na tujipambanue kwa mawazo kunjufu na mtazamo mpana katika maisha yetu. Unapokuwa umejifukia ukadhani WEWE Ndiyo kilakitu au huwezi kusaidiwa na wengine unajidanganya.
FB_IMG_1535539252410.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom