Mazhuly Member Joined Aug 12, 2018 Posts 17 Reaction score 5 Aug 30, 2018 #1 Wakati mwingine tuwaze, tufikiri na tujipambanue kwa mawazo kunjufu na mtazamo mpana katika maisha yetu. Unapokuwa umejifukia ukadhani WEWE Ndiyo kilakitu au huwezi kusaidiwa na wengine unajidanganya. Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine tuwaze, tufikiri na tujipambanue kwa mawazo kunjufu na mtazamo mpana katika maisha yetu. Unapokuwa umejifukia ukadhani WEWE Ndiyo kilakitu au huwezi kusaidiwa na wengine unajidanganya. Sent using Jamii Forums mobile app