Hii ni mitazamo ya kiafrica sana
Nilifuatilia maisha ya wahindi na waarabu zile modal za familia nilizipenda sana
Wenzetu ndio maana hata changamoto za marathi ni ndogo
Wanaishi kama kaya wote nyumba moja huwezi kukuta wanaswampa kila mtu kapangisha kichumba halafu wote wana Housemaid
Hawa jamaa wanaokoa sana hela kwenye kiti kinaitwa economies of scale
Fuatilia hawa jamaa utagundua kitu kikubwa sana namna wanavyoishi