Ujumbe maalum kutoka kwa Afande Sele

Ujumbe maalum kutoka kwa Afande Sele

Afande sele is a crackhead, so no one's give a damn about what he thinks.
 
Sio kweli Magufoool alinyonya watumishi wa umma ili kujenga miradi, mikopo alitumia kwa manufaa yake binafsi.
 
Huyu jamaa bangi zinampeleka resi sana. Sasa anashindwa kutofautisha kuanzisha miradi na kukamilisha miradi. Amekufa hakuna mradi hata mmoja aliouanzisha umefika japo nusu. Mama hajalaza mradi hata mmoja na sekta binafsi kwasasa full vicheko, watumishi serikalini ndiyo usiseme. Vijana wasomi mtaani sasa hivi wapo busy utumishi portal kufukuzia ajira maelfu kwa maelfu zilizotangazwa.
 
Back
Top Bottom