Huyu jamaa bangi zinampeleka resi sana. Sasa anashindwa kutofautisha kuanzisha miradi na kukamilisha miradi. Amekufa hakuna mradi hata mmoja aliouanzisha umefika japo nusu. Mama hajalaza mradi hata mmoja na sekta binafsi kwasasa full vicheko, watumishi serikalini ndiyo usiseme. Vijana wasomi mtaani sasa hivi wapo busy utumishi portal kufukuzia ajira maelfu kwa maelfu zilizotangazwa.