Habari Wana JF.
Naomba nianze Kwa kutoa shukurani zangu za dhati Kwa Wana JF wote mlio niamini na mkafanya kazi na Mimi shukurani Sana. { ingawa wengi hamtaki nijue ID zenu mnasema mmeona tangazo langu X zamani Twitter, Instagram, Facebook wengine mnasema ndugu zenu wamewatumia namba yangu ingawa me Sina mtando mwingine zaidi ya JF na WhatsApp but it's ok we good karibuni sana}.
Kama kawaida natoa huduma ya kukusaidia wewe mfanya biashara au wewe unae hitaji kuingia kariakoo kufanya biashara na hauelewi uanzie wapi kupata fremu karibu upate mwongozo mzuri pasipo ujanja ujanja.
Hapa kariakoo unajipatia fremu kuanzia 85,000{Kigoli} juu ghorofani unalipia Kwa miezi sita au mwaka zipo za 100,000 zipo za 200,000 zipo za 250,000 zipo za 300,000 zipo za 350,000 zipo za 400,000 zipo za 500,000 zipo za 700,000 zipo za 800,000 mpaka 1,000,000 inategemea na mtaa pia na sehemu yani namaanisha Kama ni underground, juu au chini kawaida.
Kwa maana hiyo basi wale wote wanao hitaji fremu za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama M-PESA , TIGO PESA, AIRTEL MONEY, HALO PESA, CRDB wakala, NMB wakala, NBC wakala n.k, kuuza simu, kuuza underwear(boxer,chupi,soksi,taiti n.k), kuuza vinywaji kama soda, maji, juisi n.k, kuuza vifaa vya simu, kuuza vyakula, kuuza mifuko kwa jumla, kuuza t shirt, kuuza vifaa vya ujenzi, fremu za pharmacy, stoo za mizigo, kuuza vifaa vya saloon, kuuza computer, kuuza nguo za michezo, stationary n.k karibuni fremu zipo nyingi sana.
Call 0758911751.
"YOU WIN WE WIN".
N.B ukija kariakoo kuzungushwa/kutembezwa ili ujipatie fremu na kupewa maarifa mengine ya ziada na Mimi Fact Only ni shilingi 20,000. Karibuni Sana.