Scaramanga JF-Expert Member Joined Aug 19, 2020 Posts 490 Reaction score 704 Jan 20, 2025 #1 Nichukue fursa hii kwako Waziri Ulega kwa kulichukulia hili jambo kwa uharaka na hatimaye eneo moja Kigamboni limekamilika baada ya ziara yako. Ntakuwa mtovu wa fadhila bila kukushukuru kwa kusikia kilio changu. Soma, Pia: Waziri Ulega Atoa Maagizo kwa Mkandarasi Kuharakisha Ujenzi Barabara ya Kigamboni KERO - TANROADS na Kigamboni kuna nini? DOKEZO - Waziri Ulega tunaomba uanze na Barabara zilizofumuliwa bila kukamilishwa hapa Kigamboni
Nichukue fursa hii kwako Waziri Ulega kwa kulichukulia hili jambo kwa uharaka na hatimaye eneo moja Kigamboni limekamilika baada ya ziara yako. Ntakuwa mtovu wa fadhila bila kukushukuru kwa kusikia kilio changu. Soma, Pia: Waziri Ulega Atoa Maagizo kwa Mkandarasi Kuharakisha Ujenzi Barabara ya Kigamboni KERO - TANROADS na Kigamboni kuna nini? DOKEZO - Waziri Ulega tunaomba uanze na Barabara zilizofumuliwa bila kukamilishwa hapa Kigamboni