Mzee Warioba hana legacy yoyote Tanzania hii.Kwa legacy ya Nyerere na kina mzee Warioba, kila goti litapigwa safari hii.
Wewe humjui huyo Mzee. Nikuulize swali ila sio kwa kuonesha ubaya kwa Mzee Warioba.Angalau anachembe ya uzalendo wa taifa lake Tanzania
Hata kama nyuma akifanya hayo yote amejisahisha, ameamua kuanza upya,KWA kupigania haki, na ww nikuulize swali je ww huwai kuongea uongo toka uzaliwe? Mungu huwa anangalia mwisho na sio mwanzo, mkuuWewe humjui huyo Mzee. Nikuulize swali ila sio kwa kuonesha ubaya kwa Mzee Warioba.
Je, unajua Mzee Warioba aliiba kura za Ubunge mwaka 1990 na Mahakama Kuu ilitengua Ubunge wake baada ya kujidhirisha wizi wake wa kura na irregularities alizozifanya?
🤣🤣Mzee Warioba hana legacy yoyote Tanzania hii.
Sawa, ushauri mzuri!Heshima kwako mzee! Sina mengi, Nakuomba CCM wasikuingize kwenye laana ya ya mauaji ya Oktoba 29, endelea kusimamia haki.
Nimeona mwezi huu wamekufuata Nchimbi, spika, na makamu wa kwanza wa Zanzibar, najua mmeongea mengi tafadhali chonde chonde kaa mbali nao, si umemwona huyo msaliti aliemsaliti Polepole anajutia sana.
By mwilist Gabeji
Angelijisahihisha akiwa madarakani ningelimuelewa. Nakupa nyingine; unajua mwaka 2015 mwanae Kipi Warioba alipewa heshima ya kugombea Ubunge Kawe? Alipambana na Halima Mdee. CCM akishirikiana na Mzee Warioba walifanya kila mbinu atangazwe "Mshindi" na matokeo yalichelewshwa sana, mwishowe Kipi akashindwa. Unajua hilo?Hata kama nyuma akifanya hayo yote amejisahisha, ameamua kuanza upya,KWA kupigania haki, na ww nikuulize swali je ww huwai kuongea uongo toka uzaliwe? Mungu huwa anangalia mwisho na sio mwanzo, mkuu
Hiyo ni propaganda uchwala, no matter alikuwa ......,alifanya........, Ametubu ameanza upya, hujajibu swali langu mkuu, ww hujawai kuongea uongo toka uzaliwe? In short ccm yote imeoza, ila mtu akitubu anasamehewa, tulimsamehe pole pole, baada ya kutubuAngelijisahihisha akiwa madarakani ningelimuelewa. Nakupa nyingine; unajua mwaka 2015 mwanae Kipi Warioba alipewa heshima ya kugombea Ubunge Kawe? Alipambana na Halima Mdee. CCM akishirikiana na Mzee Warioba walifanya kila mbinu atangazwe "Mshindi" na matokeo yalichelewshwa sana, mwishowe Kipi akashindwa. Unajua hilo?
Unajua baada ya hapo, Kipi Warioba alipewa U-DC na kipindi chote mwanae akiwa DC Mzee Warioba aliufyata? Je, unajua baada ya kuondolewa kwenye U- DC mwanae ndio ameibuka tena? This Mzee Warioba is failure!!
Ahahahahaha!Hiyo ni propaganda uchwala, no matter alikuwa ......,alifanya........, Ametubu ameanza upya, hujajibu swali langu mkuu, ww hujawai kuongea uongo toka uzaliwe? In short ccm yote imeoza, ila mtu akitubu anasamehewa, tulimsamehe pole pole, baada ya kutubu
Nimeona mwezi huu wamekufuata Nchimbi, spika, na makamu wa kwanza wa Zanzibar, najua mmeongea mengi tafadhali chonde chonde kaa mbali nao, si umemwona huyo msaliti aliemsaliti Polepole anajutia sana.Heshima kwako mzee! Sina mengi, Nakuomba CCM wasikuingize kwenye laana ya ya mauaji ya Oktoba 29, endelea kusimamia haki.
Nimeona mwezi huu wamekufuata Nchimbi, spika, na makamu wa kwanza wa Zanzibar, najua mmeongea mengi tafadhali chonde chonde kaa mbali nao, si umemwona huyo msaliti aliemsaliti Polepole anajutia sana.
By mwilist Gabeji