Wanabodi,
nimepita mjini tunduma leo, kwenye highway inayoelekea sumbawanga kushoto naona bango/tangazo kubwa linaloonekana na kusomeka vizuri limeandikwa "KATIBA MPYA NI YA WANANCHI SI YA C.C.M,TANGANYIKA KWANZA ,TUNATAKA KURA YA SIRI",
Ukubwa wa tangazo hili(limeandikwa kwenye kitambaa cheupe kwa wino mzito mwekundu na limening'inizwa pembeni ya barabara kuu)ni sawa na yale ya serikari ya kitaifa ya maadhimisho na sherehe mbalimbali.
Nimependa sana hii kitu,,lakini kuna maswali machache ya msingi,,serikali ya eneo hili wanalichukuliaje?je huu ni msimamo wa wanatunduma wote au kikundi kidogo cha watu?