Ujumbe mzito kutoka kwa mama Diamond kwenda kwa Zari

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762
Kupitia akaunti yake ya instagram, Mama mzazi wa Diamond Platinumz ameendika maneno machache lakini yenye ujumbe mzito kwa mama wa wajukuu zake, Zarina Hassan aka Zari the Boss lady. Ni maneno yenye faraja kubwa na yanayozima baadhi ya tetesi zilizokuwa zimeenezwa kuwa wawili hao hawapatani.

Mama Diamond kaandika "Umepoteza Mama na Umebakia na Mama ambaye ni mimi.... @zarithebosslady Mama Tee tumshukuru Mungu kwa kila hali Allhamdullillah!" naye Zari hakusita kulike na kujibu"Sante mama nashkuru". Na katika post nyingine Mama Diamond ameendika "We are with you @zarithebosslady Love you Mama Tee wangu" huku Zari akijibu "Love u mama"


 
Huyu Zari anapenda kujishow na umaarufu kiasi anashindwa kujua sehem sahihi ya kujishaua.


Pole kwake na familia yake.
Ni sehemu ipi sahihi ambapo anapaswa kujishaua?
 
Sijawahi kuona uzi humu mama diamond au diamond kajamba au amepiga chafya wala kukohoa tu, hawa watu siyo wa kawaida.
 
Kusoma na kuelimika ni jambo muhimu sana katika maisha.
 
Wanaacha kuambiana huko msibani wanakuja kuandikiana istagram,
Kizazi cha wakwe WA digitali
 
Heading and content are totaly contrary
 
Dah mama wa watu sasa naona ana IPHONE hahahahahhahahahaha dah kumbe maisha ni akili na si elimu mwanae na mzidi elimu lakini sasa naambulia vumbi tuuu
 
Maisha ya watu wawili lakin yanavofatiliwa na wengine wasiokua na Maisha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…