Dim Ray
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 320
- 249
Salaam wana jamvi,
Matumaini yangu ni kwamba tuwazima tukiendelea kulisukuma gurudumu la maendeleo kujipatia cha kutia midomoni mwetu. Ukiachana na matukio mengi yaliyotokea wiki hii, cha msingi ni kumshukuru Mungu kwa kutupatia uhai; yote heri, uzima kwanza.
Leo nilitaka kuzungumzia wimbo wa See You Again uliotolewa mwaka 2015 officially, correct me if am wrong. Kuna nyimbo ambazo ukisikiliza una-connect vitu vingi vilivyokutokea kama kupoteza rafiki, jirani, mpenzi na watu unaowapenda lakini kwa huu wimbo kuna extra miles hata ukipewa beat yake tu unaweza ukatoa machozi ukisikiliza na kumvutia picha mpendwa wako alotangulia, ni asubuhi sasa nimeusikiliza almost mara tatu sasa.
NOTE: English kama inapanda utakubaliana na mimi, kuna ujumbe mzito sana