😂😂😂😂Kipaji chake kilituacha mapema sana ,,,,,kuna wasanii uchwara wanatingisha tu miili yao nakusema ,,sanaa ya bongo imekua 🤣🤣🤣🤣😂
Kuna mambo mengi kwenye upande wa movie mpaka itulie,ila sisi hatujitoi tunafanya kwa njaa tu,Waigizaji wa bongo wanashikilia bango nakusema tasnia inakua wakati wao wamelala
tungeweza kuibuka kidedea ila shida ni kwamba sisi wenye kazi zingine ndo tna mawazo ya kukuza sanaa kuliko wahusika ,wanaridhika kufanya movie kumi ambazo contents n za aina moja , vituko vingi wasanii hawaendani na uhusika ya ni mtu ana wave afu ana act kama mwanakijiji , kama tamthiliya ya Odama mfalme alikuwa na low cut ,Kantala ana tu rasta tudogo ,I felt shame 🤮🤮🤮🤮Kuna mambo mengi kwenye upande wa movie mpaka itulie,ila sisi hatujitoi tunafanya kwa njaa tu,
natamani siku moja aibuke mtu serious alafu aanze kutengeneza vichupa kama vya Hollywood japo kwa low budget hiyo,hiyo,
Hawa wasanii wetu wanashinda insta kujionesha, ili wajiuze, hawapo serious hata kidogo,
Wenzetu hiyo ni ajira,
ila kiufupi bongomovie bado sana, sikumbuki hata mara ya mwisho lini kucheck movie zao japo cha nyumbani.