Elections 2010 Ujumbe niliopokea leo kutoka chama cha mafisadi ni huu!

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2010
Posts
966
Reaction score
540
'Vyama vya siasa vilivyoandikishwa ni 18 lakini hakuna hata chama kimoja ukiviweka kwenye mizani katakachofikia CCM. Chagua CCM chagua Kikwete'.
 
nami nimeupata . Wameishiwa la kusema
 
wamenitumia wa pili nikataka kuwajibu lakini sehemu ya reply haipo ila ya kuforward tu. Nami si forward ila nawandalia ujumbe kambambe wa kusifia chadema na Dr. slaa.
 
Yaani tuchague chama cha mafisadi? Nina wasiwasi na wewe, wanaochagua ccm ni kama Ridhwani, ukiona kuwa unashabikia chama fisadi ujue unafaidi masalia ya ufisadi, unadhani wajukuu wako elimu bora wataiona Dr Slaa asipokuwa Rais? Ulie tu, subiri uone watu walivo jiandaa kupiga kura za kuondoa usultni madarakani.
 
'Vyama vya siasa vilivyoandikishwa ni 18 lakini hakuna hata chama kimoja ukiviweka kwenye mizani katakachofikia CCM. Chagua CCM chagua Kikwete'.
Hakuna atakayekifikia ccm Kwa uvurugaji na uwizi na uzandiki, na ushirikina, na ubabaishaji, na unyanyasaji, na ufitini, na uropokaji, na ukora na ukabaila!
 
'vyama vya siasa vilivyoandikishwa ni 18 lakini hakuna hata chama kimoja ukiviweka kwenye mizani katakachofikia ccm. Chagua ccm chagua kikwete'.

mwasisi wake myerere ilkiita kimeoza!!!
 
Ni ujumbe wa mtanzania aliyechoka kifikra; anaangalia ukubwa wa chama na siyo ubora wa sera! Kaka vyama siyo vikundi vya ngoma!
 
usiwe na wasi wasi na mimi. Mimi nimetumiwa ujumbe kutoka chama cha mafisadi nikaona si vizuri kukaa nao bora niwataarifu na wadai wengine ili waandaa mikakati ya ushindi wa chadema wajue namna ya kujibu mashambulizi. Kumbuka leo ni siku ya kumkumbuka baba wa taifia hivyo CCM wanataka waoanishe nyerere na CCM
 
'Vyama vya siasa vilivyoandikishwa ni 18 lakini hakuna hata chama kimoja ukiviweka kwenye mizani katakachofikia CCM. Chagua CCM chagua Kikwete'.

Hata mimi nimeupata ujumbe huo na nilitaka kuwajibu na kusema "GO TO HELL"

LAKINI NILIPO UTUMA NIKAAMBIWA HIYO NAMBA HAIPOOOOOOOOOOOOOO

Kweli nilishangaa yaani mafisadi wanaweza kunitumia ujumbe lakini mimi siwezi kuwajibu? Hivi wao ni akina nani?

Ule ujumbe wa kutoka FINLAND niliujibu na kuwaambia "GO TO HELL" na ulienda vizuri lakini huu wa Chama Cha Mafisadi-CCM- haukwenda yaeleka wametoa pesa na wanajua tutawajibu ya kuwa.....................GO TO HELL
 
CCM hata ikikampeni kwa miaka minane haitashinda N'go.
 
Hivi kuna uwezekano kuwa wanaopata ni wateja wa Mitandao fulani tu? Mi natumia tigo, tangu wameanza msg za kipumbavu nazisikia kwa wengine tu. Kuna mtu anatumia tiGo amepata msg za aina hii toka CCM?
 
Hivi kuna uwezekano kuwa wanaopata ni wateja wa Mitandao fulani tu? Mi natumia tigo, tangu wameanza msg za kipumbavu nazisikia kwa wengine tu. Kuna mtu anatumia tiGo amepata msg za aina hii toka CCM?

naona ni sisi tulio kwenye mitandao ya kifisadi Zain na Voda board members wao na wamiliki si mnawafahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…