Hahahahaaha nimeipenda hiyo, ni kweli mambo hayo utayapata katika Katiba Inayopendekezwa hasa katika SURA YA NNE, IBARA YA 28-31, Soma hivyo vipengele ndo utagundua ujumbe kwa njia ya picha uliwekwa hapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.