Ujumbe wa Fr. Kitima baada ya kushambuliwa: Hatutakiwi kuogopa kulipa gharama katika kusimamia haki

Ugua Pole Father Kitima. Mungu amekuponya wahalifu walikusudia kukua.

Hili wameshindwa tena
 
Safi sana,hakuna kuogopa mpaka hawa mashetani wakijani watakapoheshimu haki na utu wa Binadamu.
Sasa ni wazi Tanzania iko vitani . Ni vita kati ya wananch na serikali ya ccm. Yoyote aliyopo ccm ni adui wa taifa na wanachi. Hakuna tena kujificha kwenye kichaka cha kusema siasa hainihusu. Lazima tusimame tuhesabiwe. Hakuna serikali yoyote duniani yenye nguvu kuliko wananchi. Tutashinda .
 
Aisee
 
Amani, utulivu na usalama wa nchi hii utaletwa na kusimamiwa na Serikali tu na sio na mtu mdogo kama Fr. Dk. Kitima.
 
Safi sana,hakuna kuogopa mpaka hawa mashetani wakijani watakapoheshimu haki na utu wa Binadamu.
Kwahiyo imekuwa confirmed kwamba kashambuliwa na CCM sababu ya kudai haki?
Chadema mnatafuta Kiki tuu acheni Jesuit wafanye kazi yao ndo wenye jukumu la kulinda viongozi wao.
 
Kuna mCCM yeyote ambaye ameenda kumsalimia mpaka sasa au ndio wale wa kusema waache wapata dawa maana wanachanganya dini na siasa na kumkosoa rais kwa sababu ni muislam
Bashungwa must go.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…