Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Hakuna faida chini ya jua.What do you mean kujilisha upepo
Mateso tu sio?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna faida chini ya jua.
Mateso,dhiki,magonjwa,kukataliwa,njaa,chuki,vita n.k lakini yupo mmoja aliyeyashinda hayo,.tujipe moyo tutashinda.[emoji4]Mateso tu sio?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nani huyo alishinda?Mateso,dhiki,magonjwa,kukataliwa,njaa,chuki,vita n.k lakini yupo mmoja aliyeyashinda hayo,.tujipe moyo tutashinda.[emoji4]
Povu la nn mkuu, ww mkeo ulimkuta na utepe huko chini, kama hukukuta huyo ni x wa mtu na huwenda bado analiwa vile vile. Hao unao wazungumzia ww ni exceptional few people, which abvious they should be there, ila majority ni kama alivyosema bwana Kileo.hapo kwenye uchumba si kweli kuna watu ni wamekata utepe na hawajawahi kuwa na ma x
aache kuwasingizia watu si kila mtu ni x wa fulani kuna watu hawana x
Wala sijakucheka, umenipa raha sana Leo...tabasamu siku nzima.Mkuu, naona leo umenicheka kwasababu nimejaribu kuruka lugha ilio tuogopesha kwa kisingizio cha UMANDE... tehteehhh
Hebu anza ww kutujulisha ukijuacho nasi tujue tuichokijua...kama kweli unajua lakini.Kunywa maji kwanza halafu uje kuthibitisha Steve Jobs alianzisha kampuni ya iphone lini na alikufa kwa kansa lini
Hivi unaelewa ulichokiandika hapa kweli?Wewe ndiyo huyo Kileo?
Naassume ni wewe, mbona una matusi sana mzee? Stress nini? Jaribu kupiga puchu au vipi kaka..
Jobs alikua ni co founder wa apple hiyo haimaanishi kua yeye ndiyo muanzisha iphone wewe kuandika tu kua jamaa ni mwanzilishi wa iphone ni komedi.
Jobs kilichomuua ni diet yake ya matunda tupu, hali ilikua mbaya mpaka ikafikia kipindi harufu ya mwili ikabadilika hiyo ilikua ni kabla organ zake hazijafeli.
Consult references zako upya.
Unaonaje wewe ukaamini unachoamini halafu ukaachana na mimi?Hivi unaelewa ulichokiandika hapa kweli?
ABSOLUTELY!To make long story short, jamaa amezungumzia "DIGNITY"
utepe ndo nn bwana, nishaona jamaa kaoa bikra mwanza , bikra ana mtoto wa miaka 9 kamwacha kwa wazazi. na unajua ndoa za kiislam, mashangazi wakaja na kitambaa kina dam chapachapa vigelegele vikapigwa, kumbe changa la machohapo kwenye uchumba si kweli kuna watu ni wamekata utepe na hawajawahi kuwa na ma x
aache kuwasingizia watu si kila mtu ni x wa fulani kuna watu hawana x
Kuna tofauti ya kuachana na kutengana. Hata mimi sijui kama wameachana au wametengana...Ujumbe umeeleweka,
Lakini je, huyu bado ni Mume wa yule Gumegume?
Nilidhani walishaachana hawa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] hmm!...utepe ndo nn bwana, nishaona jamaa kaoa bikra mwanza , bikra ana mtoto wa miaka 9 kamwacha kwa wazazi. na unajua ndoa za kiislam, mashangazi wakaja na kitambaa kina dam chapachapa vigelegele vikapigwa, kumbe changa la macho
Kwa Tabia za lile Gumegume bora waachane tu,Kuna tofauti ya kuachana na kutengana. Hata mimi sijui kama wameachana au wametengana...
Atafute mke, aachane na mipasho ya wanawake laivu, kuna mabinti kibao wanasubiri ndoa, yeye anabaki ana lalamika lalamika. Wanawake wameumbiwa kusaliti na kusalitiwa