Ujumbe wa Henry Kileo mume wa Joyce Kiria

huyu kamanda analialia sana
hawezi kuongoza mapambano huyu
 
Mbona hata hayo maisha ya kumpendeza mungu sio jambo jipya kuna watu kibao wameyatenda na kuyaishi hivyo hata ukiyaishi sasa bado sio jambo jipya,

Komaa na hali tu maana hakuna jipya utakalolitenda ambalo utasema halijawahi kutendwa,
Wapo watu walikuwa matajiri, walikuwa wachamungu, mafukara, walikuwa na vyeo n.k

Acha watu wafanye yale yanayowapendeza maana yanayompendeza mungu yalishafanywa saaaana na wala sio mapya

Atapata taabu saaana
 
DARASA hili la UJASIRIAMALI litatolewa bure kabisa
Mnaanza kwa kusema bure lakini watu wakifika huko mnaanza jamani mchango wa kumchangia mwalimu fedha ya nauli,mara kulipia sehemu ya ukumbi etc,Kama ni Bure kweli nyie mnafiadika na nini? au ni kazi ya kanisa mnalipwa na mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…