Mbeya mjini haina mbunge mpaka mwaka 2015. Huyo aliyepo ni mbunge wa muziki Wa kufokafoka Ila asili yake ni Mbeya
Nakusihi Patric Richard ufuatilie kwa makini mchango Wa huyo Sugu bungeni toka ameingia bungeni. Mimi sina uhusiano na hicho kituo cha hiyo radio inayoisema ila natoa tathmini huru. Kama unataka agombee Tena 2015 mrekebishe hujachelewa. Huna haja ya kunijibu mimi kwa hoja za utumboNA WEWE UNAFANYA BIASHARA YA ULE MTANDAO WA NUSU SHILINGI KAMA WAFANYAKAZI WA ILE RADIO YA MAWINGU eeeehh
Ila kwa hili naona kama Mr 2 kachemka...yani yy bifu lake na Clauds ameamua kuzuia Fiesta Mbeya...agh hata kama inaua vipaji bt its not fair
Nakusihi Patric Richard ufuatilie kwa makini mchango Wa huyo Sugu bungeni toka ameingia bungeni. Mimi sina uhusiano na hicho kituo cha hiyo radio inayoisema ila natoa tathmini huru. Kama unataka agombee Tena 2015 mrekebishe hujachelewa. Huna haja ya kunijibu mimi kwa hoja za utumbo
Ila kwa hili naona kama Mr 2 kachemka...yani yy bifu lake na Clauds ameamua kuzuia Fiesta Mbeya...agh hata kama inaua vipaji bt its not fair
[h=6]Jaffarai Jaffarhymes
Nikiwa km m1 kati ya wasanii wengi sana tuliosoma mbeya, naamini km jiji la Mbeya ni kitovu cha hip hop nchini.. sasa mr 2 uctake kuleta chuki zako binafsi ukataka kuwashika masikio watu wa mby ili kuzuia FIESTA, nawajua wakazi wa Mbeya ni wajanja na hawawezi kukubaliana na upuuzi wako hata cku 1.. Lete hoja za msingi bungeni km wenzako wakina Zitto cyo unaleta mambo ya uchochezi na chuki!!![/h]