UJUMBE WA JOTI: Usiogope Kula maisha Coz Maisha yana tabia ya kutula sisi

MeryO

Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
73
Reaction score
39
JOTI Serengeti Usiogope Kula maisha Coz Maisha yana tabia ya kutula sisi
Kula hela na be be
 
safi joti, mimi siyo muumini wa kujipanga pia, saving kwa ajili ya kitu fulani cha future no, maisha ndio haya ninaishi sasa, ninasevu kwa kuwa haina kazi full stop,
 
Yaani! We kama mimi,maisha ni haya niliyonayo, hayo ya kesho ya majaaliwa.
 
Jambo jema sana, ila awakumbuke na wale ndugu zake waliotoka Kijijini wameshonesha sare za Mapazia kwa ajili ya kuja Mjini kuja kuhudhuria harusi ya Kaka yao !!!
 
Huyu jamaa nae kwenda serengeti Mbugan ndo anaona anakula maisha, angeenda Ibiza sijui ingekuaje..
 
Serengeti ni bonge la RAHA, hakuna mfano. Mkuu jaribu Siku moja ninauhakika hautajutia pesa yako kubwa utakayotumia.
 
Huyu jamaa nae kwenda serengeti Mbugan ndo anaona anakula maisha, angeenda Ibiza sijui ingekuaje..
Anakula kulingana na uwezo wake mkuu. Ibiza ina wenyewe [emoji3]
 
Back
Top Bottom