Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Kaka habari za leo? Huyu ndugu yetu anaitwa Issa Issa, ni bodaboda hapa Kariakoo opposite na Msimbazi police. Siku ya jumamosi aliacha pilipiki yake kijiweni akaaga kuwa anaenda kuchukua nguo kwenye maduka yaliyopo kwenye jengo lililodondoka. Hata hivyo hakurudi.
Tumemtafuta kupitia simu zake lakini hapatikani. Tumeendelea kumtafuta maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye hospitali zote bila mafanikio. Pikipiki yake aliiacha kijiweni ila boss wake tayari ameshaichukua.
Tunaomba yeyote atakayepata taarifa zake apige simu nambari 0713656534.