Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
dah! Kweli kifo ni Fumbo, siku yako ikifika imefika huwezi kukwepaSo sad kashapatikana
Pumzika kwa aman mtumish
Tumuombe MUNGU MWENYEZI sana ndugu yangudah! Kweli kifo ni Fumbo, siku yako ikifika imefika huwezi kukwepa
Kweli kabisa, jamaa alitoka eneo lake la kazi, akaenda sehemu ambayo angefia.dah! Kweli kifo ni Fumbo, siku yako ikifika imefika huwezi kukwepa
Huyu bwana mdogo Issa amenifanya nimeumia na kulia. Dah kifo πππππSo sad kashapatikana
Pumzika kwa aman mtumish
πππππππSo sad kashapatikana
Pumzika kwa aman mtumish
Mungu amejua kutuweza hapo tu. Yani siku ya kufa hutaijua na huwezi kukwepa. Utakiendea mwenyewe kifo chako kilipo and that will be your doomsday.Kaka habari za leo? Huyu ndugu yetu anaitwa Issa Issa, ni bodaboda hapa Kariakoo opposite na Msimbazi police. Siku ya jumamosi aliacha pilipiki yake kijiweni akaaga kuwa anaenda kuchukua nguo kwenye maduka yaliyopo kwenye jengo lililodondoka. Hata hivyo hakurudi.
Tumemtafuta kupitia simu zake lakini hapatikani. Tumeendelea kumtafuta maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye hospitali zote bila mafanikio. Pikipiki yake aliiacha kijiweni ila boss wake tayari ameshaichukua.
Tunaomba yeyote atakayepata taarifa zake apige simu nambari 0713656534.
Tumushukuru MUNGU kwa kila jambo tumuombee apumzike kwa amanHuyu bwana mdogo Issa amenifanya nimeumia na kulia. Dah kifo πππππ