Pale JUU kama kuna uchaguzi wa hovyo, mbaya, mmeweka mtu asiyefaa, ambaye hana sifa eg, hana uwezo wa kufikiri from higher mental faculties, kutoa maamuzi ya busara, kutenda, kusimamia lile analoliamini ambalo logic, common sense na intuition vinamwongoza, vyote vitalavyochaguliwa kutoka hapo JUU vitakuwa vibovu. Na maamuzi yote yatakayofanywa na hao wateule yatakuwa mabovu.
Unaweza kulemba lemba hapo kati kati kama machawa wanacvyofanya, lakini mwisho utakuwa mbaya.
Akina Chalamila, Makonda na wenzao kama hao, wanalemba lemba, but in the end the CONCLUSION will be wrong kama sasa tulivyo!