Minjingu Jingu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 1,072 Reaction score 2,384 Dec 31, 2024 #21 Anthony horowitz said: We Jamaa si uli muambia ndugu yako kwanini mama ana tosha, au baba ake ana oa tena Click to expand... Yes. Nlimuuliza hilo swali kwa nini anasema mama anatosha. Je baba yake anataka kuoa tena?
Anthony horowitz said: We Jamaa si uli muambia ndugu yako kwanini mama ana tosha, au baba ake ana oa tena Click to expand... Yes. Nlimuuliza hilo swali kwa nini anasema mama anatosha. Je baba yake anataka kuoa tena?
mkuruga Senior Member Joined Sep 13, 2024 Posts 193 Reaction score 154 Jan 1, 2025 #22 Pole sana ukionja nyama ya binadamu huwezi kuacha sasa wanaanza kula wenyewe kwa wenyewe hatari kubwa sana
Pole sana ukionja nyama ya binadamu huwezi kuacha sasa wanaanza kula wenyewe kwa wenyewe hatari kubwa sana
G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 Jan 1, 2025 #23 Afadhali kama mmegeukiana wenyewe kwa wenyewe.
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Jan 1, 2025 #24 chilumendo said: Jamaa anamkosoa mkuu wa mkoa hajui hii ni Tanganyika Click to expand... Hatari kweli kweli
chilumendo said: Jamaa anamkosoa mkuu wa mkoa hajui hii ni Tanganyika Click to expand... Hatari kweli kweli
Omulasil JF-Expert Member Joined May 5, 2015 Posts 8,015 Reaction score 10,269 Jan 1, 2025 #25 Kijana wee sio Mnyantuzu? Huwa hao jamaa hawalilii ovyo, serkali ni qewe mwenyewe unaweza kutoa hukumu. Sheria unazo. Kaa kimya baadae shughulika naye perpendicular at 90°
Kijana wee sio Mnyantuzu? Huwa hao jamaa hawalilii ovyo, serkali ni qewe mwenyewe unaweza kutoa hukumu. Sheria unazo. Kaa kimya baadae shughulika naye perpendicular at 90°