Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Ningeshauri Serikali bora ibinafsishe hili Shirika la Umeme iwape Wawekezaji kwani. Tanesko imeshindwa kulitatua tatizo la upungufu wa umeme takriban zaidi ya miaka 40 tangu wakati wa utawala wa Rais Mwinyi haya matatizo ya umeme yalikuwepo na mpaka sasa utawala wa Mama Rais pia mataizo ni yale yale hayaja malizika.Leo nilikuwa Kijitonyama, aiseee siyo kwa joto lile, nimewakuta wanangu wamekuwa wekundu kama wanapikwa kwenye tanuru la mkaa.
Likibinafsishwa watalichukua akina Maropes, Napy na Riz1Ningeshauri Serikali bora ibinafsishe hili Shirika la Umeme iwape Wawekezaji kwani. Tanesko imeshindwa kulitatua tatizo la upungufu wa umeme takriban zaidi ya miaka 40 tangu wakati wa utawala wa Rais Mwinyi haya matatizo ya umeme yalikuwepo na mpaka sasa utawala wa Mama Rais pia mataizo ni yale yale hayaja malizika.
Hii nyimbo sijuwi itamalizika lini?
Nimemshangaa sana kiukweli..Shirika linamilikiwa kwa 100% na Serikali, Wizara inayoisimamia ipo chini ya Naibu Waziri Mkuu ambaye ni Mjumbe wa CC,Mbunge..Angesema, tena kwa SAUTI kuu, "MHESHIMIWA RAIS, KWA HILI LA UMEME,UNATUKWAZA"Manara anaitenganisha vipi Tanesco na Serikali?, kweli u Chawa kazi sana, unatamani kumwambia boss ukweli ila ukiwaza tumbo akili yote inakutoka.