Ujumbe wa Nay Kwa madiba

Ujumbe wa Nay Kwa madiba

Yegoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2012
Posts
1,432
Reaction score
508
Madiba peleka salam hizi kwa mzee we2,(jk Nyerere) mwambie hivi Tanzania hakuna tena kuna Tangagiza,,
Viongozi bora hakuna tena sasa hivi kuna Wezi bora,bunge hakuna tena sasa hivi kuna mabondia,waropokaji,wezi na wasanii.Pia sasa hivi huku hawafi wazee wanakufa vijana kwa kula unga,mabangi na ngono zembe,,ule mchakamchaka na zile nyimbo zake zilishamfuata!!
 
Back
Top Bottom